Wednesday, May 15, 2013

Video: Sababu ya kwanini Jose Chameleone ni balozi mkubwa wa lugha ya Kiswahili duniani

Huenda Tanzania ikaanza kumchukulia Jose Chameleone si kama tu mwanamuziki mahiri bali pia kama balozi mzuri wa lugha ya Kiswahili duniani. Tazama video hii ya wasichana wa kimarekani na kichina wakiimba hit single yake, Badilisha.
 

0 comments:

Post a Comment