This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Showing posts with label PICHA. Show all posts
Showing posts with label PICHA. Show all posts

Saturday, June 24, 2017

MUONEKANO WA NYUMBA YA LIL WAYNE ALIO UPIGA BEI PICHA ZA NYUMBA MUONEKANO WA NJE NA NDANI HUU HAPA




Mastaa mbalimbali duniani hupenda siyo tu kununua na kuendesha magari ya kifahari pia wako mstari wa mbele kununua nyumba za nguvu lakini hawapendi kuzitumia kwa muda mrefu.

Story iliyonifikia ni kuhusu kupatikana mmiliki mpya wa jumba la kifahari lililopo Miami Beach, Fla. ambalo lilikuwa milki ya Rapper Dwayne Michael Carter Jr., maarufu kama Lil Wayne ambaye ameliuza kwa Dollar 10m ambazo ni zaidi ya Tsh. 22b.

Mjengo huo awali uliingia sokoni mwaka 2015 kwa bei ya Dollar 18m zaidi ya Tsh. 39.6b lakini likakosa mnunuzi na likashushwa bei hadi Dollar 12m zaidi ya Tsh. 26.4b hakupatikana pia mteja kabla ya kuuzwa kwa bei hiyo.

Nimekuwekea hapa za muonekano wa ndani na nje ya jengo hilo.

Tuesday, January 31, 2017

WAKUU WA NCHI ZA UMOJA WA AFRIKA KATIKA MKUTANO WAO WA 28 JIJINI ADISI ABABA ,ETHIOPIA




Picha ya pamoja ya wakuu wa nchi za umoja wa Afrika katika mkutano wao wa 28 jijini Addis Ababa, Ethiopia. Rais Dkt John Pombe Magufuli ni wa pili mstari wa pili kulia.

Tuesday, August 11, 2015

Picha za bomu la nyuklia Nagasaki Japan




B
omu ya kiatomiki ilipolipuka mjini Nagasaki

Huku ulimwengu ukiadhimisha miaka 70 tangu ndege za kijeshi za Marekani ilipodondosha bomu la kinyuklia juu ya Nagasaki tazama picha za janga hilo. Majengo yote na viwanda viliharibiwa kabisa

Ibada maalumu za ukumbusho zinaendelea kufanywa katika mji wa Nagasaki, nchini Japan, kuadhimisha miaka 70 tangu kulipuliwa kwa bomu ya atomiki jijini humo. Zaidi ya watu elfu 70,000 waliangamia Wahasiriwa wa bomu hilo waliungua mwili wao mzima

Tarehe 9 Agosti mwaka wa 1945, ndege ya Marekani ikiwa imejihami kwa silaha zenye nguvu za kitonaradi ilidondosha bomu la pili kuwahi kutupwa katika uwanja wa kivita katika mji wa , Nagasaki ambao ulikuwa ndio kitovu cha uzalishaji wa viwanda nchini Japan. Siku 6 tu baadaye Japan ilitangaza kuwa imejisalimisha katika vita hivyo vya dunia.

Siku 6 tu baadaye Japan ilitangaza kuwa imejisalimisha katika vita hivyo vya dunia. Watu 74,000 waliangamia

Takwimu zinasema kuwa takriban watu 74,000 waliangamia. Watu wengi zaidi walikufa kutokana na athari ya miale ya nyuklia

Hii ilikuwa ni idadi kubwa zaidi ya watu hususan ikitokea siku tatu tu Asilimia 70 ya watu hawakuwa na makao

baada ya bomu la kwanza la kinyuklia kuua zaidi ya watu 140,000 mjini Hiroshima. Bomu hiyo iliyotikisa na kuangamiza kabisa mji wa Nagasaki

Bomu hiyo iliyotikisa na kuangamiza kabisa mji wa Nagasaki ilijulikana kwa jina la utani kama ''Fat Man''. Wahasiriwa wa mkasa huo hawataki Japan ijiuhusishe na vita tena

Ndege iliyotumika kutupa bomu hilo ilijulikana kama Bockscar, ilipaa kutoka kisiwa cha Mariana. Kanisa kubwa zaidi wakati huo liliharibiwa kabisa

Rubani wake alikuwa Meja jenerali Charles Sweeney. Zaidi ya watu 200,000 waliuawa

Inakisiwa kuwa zaidi ya watu 200,000 waliuawa katika milipuko hiyo miwili, Wengine kufariki baadaye kutokana na miale ya sumu kutoka kwa mabomu hayo ya nguvu za kitonaradi

Wengine kufariki baadaye kutokana na miale ya sumu kutoka kwa mabomu hayo ya nguvu za kitonaradi. Viongozi wanamkashifu waziri mkuu bwana Shinzo Abe kwa kubadili sera na katiba ilikuiruhusu nchi hiyo kushiriki kwa vita

Katika ibada ya ukumbusho iliyoandaliwa leo mjini Nagasaki,

wahasiriwa walimzomea waziri mkuu wa bwana Shinzo Abe kwa kutaka kubadilisha katiba ya taifa hilo ilikuwaruhusu wanajeshi wa Japan kuhusika na mapigano.
Mnara wa amani umejengwa katika eneo hilo
Meya wa mji wa Nagasaki naye alivutia waya huohuo akimkashifu waziri mkuu bwana Shinzo Abe kwa jitihada za kubadilisha katiba ya nchi.

Tuesday, June 9, 2015

Kim Kardashian ‘alivyomsuprise’ Kanye West kwenye Birthday yake…(Pichaz&Video)








Jana jumatatu ilikua siku ya kuzaliwa ya Kanye West na alitimiza umri wa miaka 38.





Mke wake Kim Kardashian aliamua kumfanyia suprise kwa kumkodishia uwanja wa kikapu wa Staples Center uliopo Los Angeles kwa siku nzima ya jana ambao hutumika kwa ajili ya timu za mpira wa kikapu Marekani.


Kanye alitumia muda wake mwingi kucheza kikapu na marafiki zake wa karibu katika uwanja huo ambao kwa mujibu wa mtandao wa E News Kim aliulipia kiasi cha dola 110,000.





Baadhi ya watu wa karibu waliolikwa kwenye tafrija hiyo ni Justin Bieber, Tyga, Pusha Tna John Legend ambaye alikua MC wa shughuli hiyo.





Kim pia aliwalipa makocha wa Lakers kwa ajili ya kuchezesha mchezo huo pamoja na baadhi ya wasichana ambao waliongeza mvuto kwa kumshangilia mume wake muda wote.
















Wednesday, December 31, 2014

Kanye West anawafunika ma-star wengine wa kiume kwa mavazi?

Kumekuwa na mashindano ya ubunifu wa mitindo mbalimbali ya mavazi, wakati mwingine tumeona mastaa ambao hubuni mavazi yao wenyewe, hivi ukiambiwa umchague staa wa kiume ambaye ameongoza kwa kuvaa vizuri zaidi utamchagua nani?
Nilishawahi kusikia watu wakisema eti jamaa hajui kupangilia mavazi, ana mtindo wa kuvaa ambao hauvutii na ukimuangalia unaona kwamba ni kama hajali kuhusu mavazi yake.
Jarida la GQ wamefanya tafiti zao na watu wamepiga kura, majibu yemeonyesha kuwa rappa Kanye West, ndiye bingwa wa kutupia swaga kwa mwaka 2014.
Jamaa waliofanya tafiti wamesema mavazi ya Kanye West yametafsiri na kubadili mazingira ya fashion kwa wanaume wengi, mavazi yake ni kama yamekuwa yakielezea kesho zaidi kwenye Dunia ya mitindo.

Thursday, December 18, 2014

Picha za Diamond Platnumz alivyopokelewa na Zari nchini Uganda leo.


.
.


.
.


.
Hili ndio gari lililombeba Diamond Platnumz kutoka Airport kuelekea Hoteli .

Home » Ent. » Picha za Diamond Platnumz alivyopokelewa na Zari nchini Uganda leo.


.
.
Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz ameshawasili 256 Uganda kumpa support  Zari Hassan a.k.a Zari The Bosslady kwenye  event yake ‘All White CIROC Party’ itakayofanyika Des 18 Kampala.
.
Diamond akifanya mahojiano na waandishi wa habari  baada ya kuwasili Uganda .
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Diamond Platnumz akiwa na Zari baada ya kumaliza mahojiano na waandishi.
.
.
.
.
.
.
.
Zari na Diamond  wakihojiwa na mwaandishi kutoka NTV.
.
.
.
.
Zari 1
Zari 2

.
.