Rapper
Hamis Mwinjuma aka Mwana FA leo alikuwa akishoot tangazo la TV kwaajili
ya show yake ya tarehe 31 mwezi huu. Shughuli hiyo imefanyika kwenye
mgahawa wa Akemi uliopo kwenye jengo la Golden Jubilee jijini Dar es
Salaam. Pia Mwana FA kesho ataiachia rasmi ngoma yake iliyokuwa
ikingojewa kwa hamu, Kama Zamani aliowashirikisha Wana Njenje na Man
Dojo na Domo Kaya.
0 comments:
Post a Comment