Wednesday, May 15, 2013

KAMA UNATAKA KUPIGA KURA KWENYE KILI MUSIC AWARD LINK HIZI HAPA


Website:Fungua anuani ya mtandao wa KILI www.kilitimetz.com au www.kilitime.co.tz,nenda katika ukurasa maalum wa upigaji kura ulioadikwa VOTE, kuchagua msanii mmoja katika kila kikundi cha wasanii waliopendekezwa kwa kubonyeza pembeni ya alama yake kabla ya jina lake, andika anuani ya barua pepe yako chini ya ukurasa huo, bonyeza VOTE.

0 comments:

Post a Comment