Monday, April 22, 2013

Teaser: Sikiliza kipande cha wimbo mpya wa Ben Pol 'Jikubali'










Msanii wa R&B Tanzania Ben Pol anategemea kuzindua single yake mpya inayoitwa 'Jikubali', katika mkesha wa mei mosi (April 30) katika ukumbi wa Ambassadors lounge jijini Dar es salaam.


Wimbo huo umetengenezwa na producer Lucci wa Transfomax, wakati video yake imetengenezwa Arusha na director Nisher. Ben Pol anategemea kuperform na live band katika uzinduzi huo.


Sikiliza teaser ya wimbo huo hapa

0 comments:

Post a Comment