
Hivi karibuni pia paparazi wameinasa snap ambayo inamuonyesha Bieber akiwa ameshikilia simu yake ya mkononi ikiwa na screen saver ambayo inaaminika kuwa ni picha ya 'swit pie' Selena.

Kwa hizi dalili kwa sasa, Story na assumptions kwa mtaa ni kwamba Justin Bieber na Selena Gomez wamesharudiana lakini wameamua safari hii kuifanya relationship yao kuwa ni ya kisirisiri zaidi kutokana na kuzikwepa kero za mapaparazzi.

0 comments:
Post a Comment