Friday, January 25, 2013

50 Cent aachia video kali ya wimbo wake mpya akiwa na Snoop Dogg(Lion) na Young Jeezy ‘Major Distribution’, Iangalie hapa


Boss wa G-Unit 50 Cent ameachia video ya wimbo wake akiwa kafanya na mastaa hip hop Snoop Dogg a.k.a Snoop Lion, na Young Jeez, wimbo unaitwa ‘Major Distribution’ ambao uko kwenye album yake ya nne kama studio album “Street King Immortal”. Wimbo umetayarishwa na Marvin ‘Soul Professa’ Coady na kuongozwa na Eif Rivera ambae ni mshirika mzuri sana wa Fif.


50 Cent ametumia jina la ‘major distribution’ kama metaphor kwa hustlers wanaodeal na madawa ya kulevya, na mashairi yake yamezungumzia hizo hustle. "I'm trying to move one brick, two brick, three bricks, four, more / I'm trying to move five bricks, ten bricks, twenty bricks raw / (I smoke one ounce staring at the caddy on the showroom floor / Now I'm trying to move 5 pounds, 10 pounds, 20 pounds, more Boy)".


“Major distribution” inafuata baada ya kuachia nyimbo kadhaa toka kwenye album yake inayosubiriwa sana “Street King Immotal”, alishatoa ‘New Day’ feat. Dr. Dre na Alicia Keys, ‘My Life’ feat. Adam Levin na Eminem, na ‘First Date’ feat. Too Short.





Wakati anaachia wimbo wake 50 Cent alitweet, “Album ya STREET KING IMMORTAL’ itatoka katika majira haya ya Spring. Kutokana na mabadiliko ya kiutawala. I’m mad my album date is changing again but I’ll use the time to make it better if I can.”



Iangalie hapa video kali ya 50 Cent feat. Snoop Dogg na Young Jeezy “Major Distribution”.



            

0 comments:

Post a Comment