Saturday, January 26, 2013

SNOON DOGG AJIKUTA KWENYE MSALA MKUBWA



Snoop Dogg siku ya jana alijikuta akiongea kitu kilicho toa majibu mengi na wasiwasi mkubwa kwa mashabiki wake na wananchi pia waeneo analo ishi kwani alifunguka na kusema kuwa atawafundisha watoto jinsi ya kuvuta bangi kitu kilicho waweka watu kwenye mawazo makubwa

0 comments:

Post a Comment