Saturday, June 24, 2017

MUONEKANO WA NYUMBA YA LIL WAYNE ALIO UPIGA BEI PICHA ZA NYUMBA MUONEKANO WA NJE NA NDANI HUU HAPA




Mastaa mbalimbali duniani hupenda siyo tu kununua na kuendesha magari ya kifahari pia wako mstari wa mbele kununua nyumba za nguvu lakini hawapendi kuzitumia kwa muda mrefu.

Story iliyonifikia ni kuhusu kupatikana mmiliki mpya wa jumba la kifahari lililopo Miami Beach, Fla. ambalo lilikuwa milki ya Rapper Dwayne Michael Carter Jr., maarufu kama Lil Wayne ambaye ameliuza kwa Dollar 10m ambazo ni zaidi ya Tsh. 22b.

Mjengo huo awali uliingia sokoni mwaka 2015 kwa bei ya Dollar 18m zaidi ya Tsh. 39.6b lakini likakosa mnunuzi na likashushwa bei hadi Dollar 12m zaidi ya Tsh. 26.4b hakupatikana pia mteja kabla ya kuuzwa kwa bei hiyo.

Nimekuwekea hapa za muonekano wa ndani na nje ya jengo hilo.

0 comments:

Post a Comment