
Ni headlines juu headlines mtu wangu,kwenye pitapita zangu nimekutana na hizi za
Madee
ambazo anaonekana yuko shule na muda mwingine anaonekana kama
anatumikia adhabu ambayo kapatiwa na Mwalimu,kwenye picha hizi
anaonekana pia
Dogo Janja na
Raymond wa
Tiptop Connection.

Bado
haijajulikana kama picha hizi ni kwa ajili ya video ya wimbo
wake,Filamu au ni tangazo ambalo limemlazimu kuvaa nguo hizo ili kuleta
uhalisia zaidi,endelea kuwa karibu na
millardayo.com ili
Madee atakapokuwa tayari kuzungumzia uwe wa kwanza kufahamu.
source millad ayo
0 comments:
Post a Comment