Star wa Nigeria ambaye ni miongoni mwa wasanii wanaolipwa pesa nyingi
zaidi kwa show Africa Davido amewanunulia manager na producer wake
zawadi ya gari za kifahari.
Manager wake Kamal Ajiboye amepewa Mercedes 450 Gl na producer wake kapewa Porsch Cayenne.
0 comments:
Post a Comment