Friday, July 19, 2013

Say What? Reaction kuhusu picha ya Wema Sepetu iliyozua mzozo na uhusiano wa Nando na Selly

Jana na leo story zilizopata comments nyingi zaidi ni pamoja na ile iliyohusu picha ya Wema Sepetu aliyoipost kwenye mtandao wa Instagram na kuwafanya mashabiki wengi kumshambulia kuwa anashindwa kuuheshimu mwezi mtukufu wa Ramadhan.
a9f26000efac11e2bfbf22000a9f1935_7
Nyingine ni kuhusu mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Afrika mwaka huu, Ammy Nando anayemshutumu aliyekuwa mpenzi wake, Selly wa Ghana kuwa alimwambukiza STD.
512445497_939157
Sikiliza Episode ya 2 ya ‘Say What’ (sehemu ya Bongo5 Radio) usikilize wasomaji wa Bongo5 wametoa maoni gani kuhusiana na story hizo.

0 comments:

Post a Comment