Monday, June 17, 2013

Vodafone waunda charger za simu zilizo ndani ya nguo zinazochaji simu kwa kutumia joto la mwili soma na angalia hapa


Waendaji wa club na sehemu za starehe hawatakuwa na wasiwasi tena kuhusu simu zao kuishiwa chaji kutokana na kubuniwa kwa kaptura na mabegi ya kulalia ambayo hutumia joto la mwili na muenendo (movement) kuzalisha umeme.
article-2340142-1A466126000005DC-437_634x524
Kaptura hizo zenye umeme zinaweza kuchajisha betri ya simu kwa kuvuna nishati kutoka kwenye mwili wa binadamu kwa kutumia technojia ya uzalishaji umeme kwa njia ya mwendo (kinetic energy) na thermoelectric.
article-2340142-1A466013000005DC-893_634x426
Chaji hizo za kuvaliwa zimetengenezwa na kampuni ya simu ya Vodafone na chuo kikuu cha Southampton.

0 comments:

Post a Comment