
Kwa mujibu wa mtandao wa Sportmail, CEO David Gill wa Manchester United ameongea na wakala wa Ronaldo kuhusu kurudi Old Trafford ili kukisaidia kikosi hicho katika ligi kuu ya Uingereza na ligi ya mabingwa wa Ulaya.
Kumekuwepo na etesi endapo Ronaldo atarejea Old Trafford kuna uwezekano mkubwa wa Wayne Rooney kuendelea kucheza soka United. Hivi karibuni kumekuwepo na habari kuwa Wayne Rooney anawindwa na club mbalimbali ikiwemo Chelsea waliokwisha tangaza dau la £25m
0 comments:
Post a Comment