
Mrisho Mpoto akipokea tuzo



Lameck Ditto akiwa na Mrisho Mpoto

B12 akimtaja mshindi wa mtunzi bora wa mashairi Bongo Flava

Ben Pol akiwa mwenye furaha kubwa wakati akipokea tuzo





Mbunifu wa mavazi, Sheria Ngowi akitaja mshindi wa mtayarishaji bora Bongo Flava


Man Walter akipokea tuzo ya mtarishaji bora



Salma Msangi

Deo Rweyunga wa Radio One

Barnaba akipokea tuzo kwa niaba ya Recho

Wema Sepetu




Ommy Dimpoz na Vanessa wakitoa shukrani zao


Host wa KTMA, Zembwela




Jambo Squad wakipokea tuzo ya kikundi bora cha muziki



Chalz Baba

















Rapper Ferguson








Barnaba akimrukia Amini baada ya kutangazwa mshindi


Amini akishukuru mashabiki, pembeni yake ni Linah


Warriors from the East wakipokea tuzo ya wimbo bora wa reggae




Kala Jeremiah akipokea tuzo yake ya kwanza ya usiku wa KTMA








Shilole akilia kwa furaha baada ya Kala kushinda tuzo ya pili






King Crazy GK akisoma jina la mshindi wa wimbo bora wa hip hop



Kelvin Twisa akitangaza jina la wimbo bora wa rnb

Mkoloni akipokea tuzo kwa niaba ya Rama D



Mtangazaji wa Citizen TV ya Kenya, William Tuva akipokea tuzo kwa niaba ya Jose Chameleone



Salama Jabir





Kala akipokea tuzo yake tatu ya KTMA


Mwana FA akiwa na Waziri wa Kilimanjaro Band kupokea Hall of Fame




Mtoto wa mwanamuziki mkongwe Salum Abdallah akipokea tuzo ya Hall of Fame kwa niaba ya marehemu baba yake



Miss Tanzania 2012, Bridgit Alfred akimtaja msanii bora wa kike


Gadner G Habash akipokea tuzo kwa niaba yake mke wake, Jaydee




Brand Manager wa bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akiwa jukwaani kutangaza mshindi wa tuzo ya msanii bora wa mwaka, Diamon ambaye hakuwepo
0 comments:
Post a Comment