Tuesday, April 30, 2013

WIMBO MPYA WA CHRIS BROWN AACHIA WIMBO MPYA 'I CAN'T WIN' KAMWIMBIA RIHANNA






Jana (April 29) tuliandika story kuhusu Rihanna kumnunulia Chris Brown gari aina ya mercedes Benz SLR kama zawadi ya birthday, leo tukaku update juu ya story kuhusu Rihanna ameonekana club aki-mingle na kumkiss guy mwingine (sio Chris), na amem follow Drake (ambaye ni adui wa Breezy) kwenye Instagram huku Chris nae amem-unfollow girl friend wake wa on/off huyo RiRi katika mtandao wa twitter.


Na sasa tunaenda kuimaliza siku kwa kuandika juu ya wimbo mpya wa Chris brown alioutoa leo ‘I Can’t Win’, ambao ni kama ameyaunganisha hayo yote na kutoa feelings zake. Je ni kweli kamuimbia Rihanna??


Leo (April 30) Breezy alitweet kuhusu wimbo huu na kuweka link ya wimbo

Usikilize hapa

0 comments:

Post a Comment