Tuesday, March 5, 2013

Machangudoa wa KISUMU wameahidi kutoa ngono bure kama Raila Odinga atashinda urais nchini Kenya.

Kama utakumbuka juu ya kile cha Machangudoa wa Nigeria walivyo ahidi juu ya kugawa uroda wa bure kama timu yao ingeshinda kwenye kombe la AFCON, Japokuwa hatujajuwa ukweli uliopo baada ya Nigeria kushinda kama ahadi hiyo ilitekelezwa.
Lakini pia nchini Kenya huko Kisumu, Machangudoa nao wameahidi jambo kama hilo lakini ni kama Raila Odinga atachukuwa nchi kama Rais.
Kupitia ukurasa wao wa facebook Nairobi Exposed wali weka post inasema hivi...
"reports reaching us from the grounds via NE reporters(fans) Kisumu prostitutes promise FREE s*xincase of a Raila win .and the deal gets sweeter when its a first round win, well free head n s*xon top a man in Nyeri has bet to CHOP off his balls incase Uhuru losses in the elections. keep it here for more wiered news from across the board"
Source Daiyl Post.

0 comments:

Post a Comment