Friday, April 26, 2013

RIHNNA APIGA PICHA AKIWA NDANI YA BIKINI KUTHIBITISHA HANA MIMBA YA CHRIS BROWN



Kumekua na tetesi kua huenda Rihanna anaujauzito wa boyfriend wake ambae huachana na kurudiana mara kwa mara, tetesi hizo zilivuma sana baada ya Rihanna kuahirisha matamasha manne katika tour yake ‘Diamonds World Tour’.
Lakini hivi karibuni RiRi amepiga picha akiwa ndani ya bikini kuonesha mwili wake na tumbo lake na inaweza kuwa ni moja ya kithibitisho kuwa hana ujauzito. Rafiki wa karibu wa Rihanna ameuambia mtandao wa HollywoodLife kuwa Rihanna hana ujauzito japo picha pekee zinaweza kuwa sio kithibisho tosha.

 “Najua, hiyo sababu ya kutosha kwa sababu kila mmoja anataka drama na tetesi kuwa anaujauzito kuendelea kuzunguka, lakini sorry, sio kipindi hiki. Hana ujauzito!”
Na kuhusu sababu zinazomfanya RiRi kuahirisha matamasha yake katika tour yake, “Kitu kimoja ambacho hakipendi zaidi ni kutokua jukwaani, na alijua hilo tangu akiwa ndogo. Kwa hiyo ni vyema mkaamini kuwa huu ugonjwa unamuua katika njia nyingi zaidi ya moja.” Alisisitiza huyo rafiki wa Rihanna.
Hizi ni picha za hivi karibuni alizopiga Rihanna:



0 comments:

Post a Comment