Thursday, November 21, 2013

Mrembo wa Brazil aliyeinadi bikira yake kwa tshs bil 1.2 aiweka tena sokoni kwa madai hakufanya mapenzi na aliyekamata dau


Mwaka uliopita, msichana wa nchini Brazil Catarina Migliorini aliteka attention ya vyombo vya habari duniani kuwa alipanga kuinadi bikira yake kwa mtu atakayetoa dau kubwa zaidi.


Catarina Migliorini


Aliishia kupata $780,000 ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 1.2 kwa millionaire wa Japan, Natsu aliyedai kuwa alikuwa na umri wa miaka 53 lakini kumbe alipokutana naye alikuta ana miaka 21 na hivyo kukataa kufanya naye mapenzi mambo (The dangers of online dating!)

Migliorini anasema hakufanya mapenzi na Mjapan huyo na sasa anainadi bikira yake kwa mara ya pili.



Ameanzisha website yake mwenyewe iitwayo VirginsWanted2.com, ambapo watu wanaweza kuanza kuweka daui. Dau la chini limeanza kwa $100,000.

Migliorini alisema ana matumaini kuwa anaweza kufikia dau la $1.5 million kutoka kwenye mnada huo.

Kwenye website hiyo ameandika: Hi, I am Catarina. I was known worldwide through the documentary “Virgins Wanted”, when my virginity was auctioned. Well, at the time the auction did not happen as expected due to disagreements between Mr. Justin and me. I met Natsu in a restaurant in Sydney. He was not a man of 53 years as the Justin said; he was young Japanese 21 years. I was surprised and did not believe in that situation and there was no agreement between the young Japanese and me. Days before the meeting I consulted an Australian lawyer who guided me very well about the entire situation. I was not alone in our appointment. I took two people with me but the details I will tell all the details in the book that I am writing. Well, I am still a virgin in every way and all the evidence, so, I never have had any sexual involvement and no one in this whole world can claim otherwise, and so I decided to make my own website to auction off my virginity and that time will be for real, so men or women who are interested can make their bids

0 comments:

Post a Comment