Sunday, June 23, 2013

Orodha Ya Nyimbo Kwenye Album Mpya Ya Jay Z Ndio Hii. soma list nzima nzima hapa




Shabiki wa Jay Z ni mtu anaye fatilia kila analo fanya Jay kwenye mziki na maisha yake, well jamaa katoa orodha ya nyimbo zitakazo patikana kwenye album yake mpya Magna Carta Holy Grail. Kwa mujibu wa rapradar nakupa nafasi ya kuziona hapa sammisago.com,
Mpaka sasa producers wanaojulikana kuhusishwa kwenye hii cd ni Timbaland, Swizz Beatz, Rick Rubin, na Pharrell. Wasanii walioshirikishwa bado kutajwa. Album ipo mtaani July 4 2013. Orodha hii imepatikana kwenye vipeperushi vinavyo sambazwa kama promotion.


1. Picasso Baby
2. Heaven
3. Versus
4. Tom Ford
5. Beach Is Better
6. FuckWithMeYouKnowIGotIt
7. Oceans
8. F.U.T.W.
9. Part II (On The Run)
10. BBC
11. La Familia
12. Jay-Z Blue
13. Nickles & Dimes

0 comments:

Post a Comment