
Katika taarifa za awali ilifahamika kuwa tayari Kim na Kanye wamefahamu jinsia ya mwanao mtarajiwa lakini katika clip iliyowekwa mtandaoni walikata sehemu ambayo doctor alipokuwa anawaambia jinsia ya mtoto huyo, ambayo of course inaeleweka ni sababu walitaka iwe exclusive kupitia reality show hiyo ya familia ya Kardashian.
Najua mpaka sasa ulitegemea niwe nimeshataja jinsia ya mtoto anaetarajiwa na Kim na Kanye, its a baby girl, swali lililobaki sasa ni kama jina la mtoto huyo litaanza na herufi K ama laa!
0 comments:
Post a Comment