Thursday, May 23, 2013

Sio Pesa Iliyo Muachisha Kazi Malaga, Anategemewa Kuwa Kocha Mpya Wa Man City

Manager Wa Club Ya Malaga Manuel Pellegrini Amethibitisha Kuwa Ataacha Kazi Baada ya msimu huu na ameshukuru viongozi wa club hio kwa kumpa nafasi ya kuwa kocha club hio. Manuel kutangaza hivyo inampa nafasi ya kuhamia Man City ili kuchukua nafasi ya Roberto Mancini aliye fukuzwa kazi baada ya kushindwa kufikia malengo waliyo kubaliana na Man City. Manuel ametangaza kuacha kazi wakati wa kugawa tuzo za Wachezaji wa Malaga waliofanya vizuri. Manuel Alisema `Siondoki Malaga sababu ya pesa lakini kwa sababu ya kitu kitakacho nifanya nijiskie nimefanikiwa na nimefanikisha kitu' Fahamu Manuel amesha fundisha Villarreal Na Real Madrid Na Ameiongoza Malaga Kufikia robo fainali za Champions League Mwaka 2012-13.

0 comments:

Post a Comment