Sunday, May 12, 2013

Picha ya mtu aliyefanana sana na Jay Z, ni ya mwaka 1939....Angalia na mastaa wengine na watu waliofanana nao

Kuna ule usemi unaosema 'duniani wawili wawili' ukimaanisha kuna uwezekano kila mtu ana mtu anayefanana nae hapa duniani hata kama hawafahamiani wala hawajawahi kukutana, hiki ndio kimeonekana baada ya picha iliyopigwa mwaka 1939 ya jamaa mmoja anayefanana na Jay Z kuonekana katika maktaba ya Schomburg Center ya New York Marekani.

Hii ndio picha ya mtu aliefanana sana na Jay Z, ilipigwa mwaka 1939
Angalia picha zingine za watu maarufu waliofanana na watu wengine


Kushoto ni Rais Obama na kulia ni raia wa Indonesia
Kushoto Quick Racka kulia ni T-Pain
Rihanna na mtoto kutoka Africa
Kulia ni muigizaji wa Nigeria Ini Edo na kushoto ni kutoka Tz


0 comments:

Post a Comment