Thursday, May 23, 2013

Picha: Mama wa mtoto ajaye wa Nay wa Mitego ni ‘mrembo’ mfahamu zaidi hapa agalia picha zake hapa akiwa na ney

Bila shaka unafahamu kuwa Nay wa Mitego ni baba mtarajiwa. Mara nyingi Nay amekuwa akiweka picha ya mpenzi wake anayetarajia kumzalia mtoto hivi karibuni lakini hujawahi kuona picha yake inayoonekana vizuri zaidi. Tazama picha hizi za shemeji/wifi yetu zilizochukuliwa kwenye show ya Nay na Diamond, Dar Live weekend iliyopita.
_K7A7541
_K7A7544
_K7A7573
IMG_3081
IMG_3082
IMG_3085
IMG_3301

0 comments:

Post a Comment