Sunday, April 21, 2013

PICHA YA ANGELINA JOLIE AKIWA KIFUA WAZI AKICHEZA NA FARASI YAPIGWA MNADA KWA BEI YA JUU AKIWA BADO MBICHI ANGALIA HAPA







Picha ya Muigizaji maarufu duniani Angelina Jolie imeingia sokoni na kuteka attention ya wanunuzi wengi sana baada ya kujumuishwa katika orodha ya bidhaa zitakazopigwa mnada huko London Uingereza mwezi ujao.



Picha hiyo inayomuonesha muigizaji huyo akiwa hajafunika kifua chake na nguo yeyote (topless) huku akicheza na farasi mweupe inatarajiwa kuuzwa dola 53,000. Picha hiyo ilichukuliwa na mpiga picha David LaChapelle mwaka 2001 wakati muigizaji huyo akiwa na miaka 25.


Picha nyingine ya Jolie akiwa na Brad Pitt kabla hawajawa wapenzi pia imewekwa katika mnada huo na inatarajiwa kuuzwa kati ya dola 15,000.

0 comments:

Post a Comment