Wednesday, February 20, 2013

DIMOND KAKATAA KUPIGA SHOW KWA WANYARWANDA

Hivi karibuni msanii wa nchini Rwanda aitwaye Mico the Best amejikuta akiingia hasara kubwa baada ya kumlipa Diamond aliyemshirikisha kwenye wimbo wake uitwao SINAKWIBAGIWE kwaajili ya show nchini Rwanda lakini hitmaker huyo wa ‘Nataka Kulewa’ alishindwa kwenda. Show hiyo ilikuwa ifanyike kwenye mji uitwayo Remela, nje kidogo ya Kigali.
Baada ya hapo Mico amekuwa akiongea na vyombo mbalimbali vya nchini Rwanda na Tanzania akitaka apewe haki yake.
Anasema alimlipa Diamond dola 6,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 9 pamoja na nauli ya ndege ya watu wanne


0 comments:

Post a Comment