Saturday, October 13, 2012

JOH MAKINI" HAFAHAMU ALILALI ALILALA NA MSICHANA GANI ?

 
Staa wa michano ya Hip-Hop Bongo, John Simon ‘Joh Makini’, imenaswa ikimuonesha akiwa katika pozi la ‘kimalavidavi’ na binti ambaye jina halikufahamika, best storie inatupia hewani

Kwa mujibu wa mtoa habari, Joh Makini alipigwa picha hiyo akiwa na mrembo huyo hotelini wakati staa huyo alipokuwa mikoani kwenye shoo zake za hivi karibuni.
Paparazi huyo alipomtafuta Joh Makini ‘Mweusi’ na kumuuliza kuhusu picha hiyo, huyokuifahamu na kuomba ipotezewe kwani hana habari na huyo sheiiiiiii.....kivyo ndio alivyopotezea mweusi huyo

0 comments:

Post a Comment