Thursday, September 20, 2012

JCB: "Ebwana huku mtaani kwetu Kimandolu mpaka ngulelo yanapigwa mabomu kama vita...naskia dereva toyo kauliwa kwa bastola............." JCB Hii ni status ya mwana hip hop kutoka Watengwa Arusha JCB kupitia account yake ya facebook aliyoiweka takriban saa moja iliyopita.


JCB
Hii ni status ya mwana  ya mwana hip hop JCB alivyo funguka kuhusu  hali ya arusha 

0 comments:

Post a Comment