Friday, August 10, 2012

Young Jeezy apewa nafasi ya kuwa Rais Atlantic Records!

YOUNG JEEZY

Rapper Jay Wayne Jenkins aka Young Jeezy ameteuliwa kuwa makamu wa rais wa  Atlantic Records.
Young Jeezy anaingia kwenye list ya rappers waliowahi kushika nyadhifa za juu katika label kubwa nchini Marekani.
Jay-Z aliwahi kuwa rais wa Def Jam, Jim Jones alifanya kazi kama makamu wa rais wa Koch Records, na The-Dream aliwahi kuwa rais wa Island Def Jam 
Na baada ya hapo alifunguka na kusema kwake yeye anafurahi sana maana ni moja kati ya ndoto alizokuwa nazo  na mamesema washabiki wake wasubirie vitu vizuri kutoka  kwake na hivyo ndio rapper huyo alivyofunguka kuhusu yeye

0 comments:

Post a Comment