Saturday, July 28, 2012

DRAKE AMESEMA YE NDO WA KWANZA KUFANIKIWA KURAP KWENYE KUIMBA


RAPPER DRAKE ALIVYO FUNGUKA KWA MA FUNS  WAKE


Drake alivyo funguka kuhusu staili yake  ya kurap ktika nyimbo zake  alinguka na kusema  yeye mwenyewe  ndio mwanamziki wa kwanza kaweza kufanikiwa katika staili yake kachanganya rapping kwenye nyimbo zake
alisema kuna  watu wanafanya kama yeye  na alisema ameshasikia wanao fanya kama yeye 
Lakinai aliendelea kufunguka na kusema kwamba  yeye mwenyewe ndio kapata mafanikio makubwa  katika staili hiyo ya kuchinganya rapping kwenye nyimbo zake
aliendelea kufunguka nakusema washabiki wake wa jiandae kupokea albam mpya kutoka kwake  na hivyo ndivyo ndivyo alivyo funguka rapper DRAKE

0 comments:

Post a Comment