Wednesday, December 30, 2015

‘Ligi Ndogo’ hii hapa kwenye video iliyochanganywa TZ na South Africa >> Bil Nas Feat. TID (Video)


‘Ligi Ndogo’ nayo ni moja ya ngoma kali za kuheshimika kwa mwaka 2015, hiyo ni kazi ya kijana mwenye ukali wake kwenye rap music, Billnass Feat. TID.
Kwa sababu redioni imekamata na imekubalika, unaweza kuona na video yake ilivyo sasahivi… Billnass aliikabidhi kazi kwa director Mbongo, Hanscana na kazi ndio hii imekuja tayari.

0 comments:

Post a Comment