Thursday, April 25, 2013

PICHA: PROFFESA JAY AKIWA NCHINI UGANDA KIBIASHARA




As you already know, Msanii wa nchini Uganda Ijumaa hii anatondosha bonge la show kwaajili ya kuzindua albam yake ya badilisha akiwa na company ya wakali kutoka Afrika Mashariki kwenye list akiwepo Redsan kutoka Kenya na Proff Jizzle ol the way kutoka +255, Story ya taoo ni kwamba Jay kwa sasa tayari yupo Kampala kwaajili ya kusapoti kazi hii kuwa mujibu wa Picha ambazo zinamuonyesha akijiachia nchini humo pamoja pia na kufanya rehearsals za show keshokutwa.




0 comments:

Post a Comment