Wednesday, January 7, 2015

Baada ya drama nyingi, DMX amekuja na hili jipya.

 dmx-redemption-
Kiongozi wa kundi la Ruff Ryders DMX Ametangaza rasmi ujio wa album yake ya nane. DMX Anatoa album iliyopewa jina Redemption of the Beast mnamo January 13, 2015.
Info nilizopata mpaka sasa ni kwamba cd itakuwa na nyimbo 16 na wasanii walioshirikishwa ni pamoja na Freeway na msanii mpya Jannyce.
Mitaa inazungumzia album mpya ya DMX Kwa kuifananisha na album yake ya kwanza iliyotoka mwaka 1998 “It’s Dark and Hell Is Hot” ambayo ilishika namba moja kwenye chati za album ndani ya wiki moja tu. Hii ndio orodha ya nyimbo kwenye cd hii mpya.

  1. Spit That Shit
  2. Built Like A Bitch
  3. On and On
  4. Get Up and Try Again
  5. Solid Ft. Rampage
  6. I’m Gonna Win
  7. It’s A Problem
  8. It’s Goin’ Down
  9. Shout It
  10. One More Night
  11. 56 Bars
  12. Where You Been Ft. Freeway
  13. Right or Wrong Ft. Jannyce
  14. Gonna Get Mine
  15. We Gonna Make It
  16. Love That Bitch Ft. Jannyce

0 comments:

Post a Comment