Wednesday, January 7, 2015

Ata baada ya kupewa ushauri,Wasanii wa Rnb bado wanapiga picha vifua wazi,huyu mwingine.



Msanii wa Rnb uliyemsikia kwenye hit zake kama 2 On na Pretend “Tinashe” ameng’arisha jarida la V kwa picha zake akiwa kifua wazi kwenye toleo la mwaka 2015.

Tinashe amezungumzia kufananishwa na Jhene Aiko na kusema ‘ kama kila msanii anatengeneza kazi bora basi wote tuna nafasi yetu kwenye muziki ila tusichanganye mashabiki ‘.

0 comments:

Post a Comment