Wednesday, May 22, 2013

: Ziara ya Obama Africa bila kuzulu Kenya yazua vituko, mwingine aahidi kumpa kuku akishuka Kenya, haya ni maoni craziest


.

Kitendo cha rais wa Marekani Barack Obama kuiruka Kenya katika ziara yake na kupanga kutembelea nchi tatu ambazo ni Tanzania, Senegal na Afrika kusini kumezua maswali mengi sana kwa wakenya. Mengi yamekuwa ni ya kuchekesha pia lakini yanaonesha

huzuni ya wakenya hao waliotamani sana Obama aitembelee nchi hiyo.



Kwa upande wa mitandao mengi yanaendelea, lakini kupitia mtandao wa twitter haya ni baadhi ya maoni kwa nini Barack Obama mwenye asili ya nchi hiyo atairuka katika ziara yake?



#WhyObamaWillSkip Kenya Coz phones will be jammed, internet down roads to be washed in soap and other crappy stuff. Where is the fun in that?



#WhyObamaWillSkipKenya because he has been in kenya severally therefore he needs a change he can believe in.



#WhyObamaWillSkipKenya because the prodigal son never went back to his father till all his money got finished



#WhyObamaWillSkipKenya As the president of U.S.A,I wouldn't intimidate myself by going to a nation where hustlers use jets!



#WhyObamaWillSkipKenya ocha mid of the year people r busy planting n he doesn't want to go to shamba



#WhyObamaWillSkipKenya Nobody goes to shagz in the middle of the year



#WhyObamaWillSkipKenya because this is his retirement home. He will be in kenya with all his benefits n beneficiaries from 2016.



#WhyObamaWillSkipKenya He won't get per diems. No one gets allowances when going home.



#whyobamawillskipkenya coz our prezzo got more mulla, more kids, more swag and smokes more kush than him.



#WhyObamaWillSkipKenya He cant stand china roads they are too way smooth for his motorcade



#WhyObamaWillSkipKenya hehe their family dog heard about mombasa



#WhyObamaWillSkipKenya because he's afraid @DanielOwira will ask to be adopted by him. Bazinga!!



#WhyObamaWillSkipKenya anasema ocha kunabore



#WhyObamaWillSkipKenya His brother Malik Obama lost the Siaya gibermatorial election.



#WhyObamaWillSkipKenya They don't want their family cat kutumbukizwa kwa mtungi donge!



#WhyObamaWillSkipKenya He doesn’t visit a country that its Secretary Union of workers has his own private solders.



#WhyObamaWillskipKenya Our prezo thinks of Economic Growth, Peace & ICC while Obama thinks Gay rights, Abortion and War(N.korea)..



#WhyObamaWillSkipKenya Coz of funny signs like USIKOJOE HAPA * american accent*



#WhyObamaWillSkipKenya hataki kuimba " Started from the bottom now we here "



#WhyObamaWillSkipKenya every Luo from Nyanza wil start telling him how they used to wipe his father's tears



#WhyObamaWillSkipKenya He is on a tour...nobody tours their own backyards



#WhyObamaWillSkipKenya and 52 other countries...How do you visit everyone in a span of 3 days???



#WhyObamaWillSkipKenya Because Uhuru and Ruto skipped the US in their tours of UK and Africa



#WhyObamaWillSkipKenya we have a Vice President who gets Tantrums and cries



Lakini huyu mwananchi yeye anaahidi angekuja angempa zawadi ya kuku wa kienyej

0 comments:

Post a Comment