AFANDE SELE |
Afande sele aka master of rhyme amesema kwa wapenzi wake wa music mwaka 2015 anampango wa kogombania ubunge kwenye jimbo la Morogoro
amefunguka na kusema kuna wabunge wawili wanao mshawishi kuchukua maamuzi kama hayu amesema wabunge wanao mshawishi kuchukua maamuzi kama hayo ni mbunge wa kigoma kaskazini Zitoza kabwe na , namheshimu sana, yuko pia dada Halima Mdee.
Ameendea kusema kwamba zito kabwe anampigia simu kila siku kumshauri kufanya uamuzi kama hua na amesema kuna vyama vingi vinavyo mtaka yeye kujiunga navyo lakini mpaka sasa amevipa kura vyama viwili
Ambavyo amesema chama cha kwanza ni chama cha democrasia na maendeleo (CHADEMA) chama cha CUF ndio alivyo vipa kura ya kufanya kazi navyo na hivyo ndio alivyo funguka master of rymes Afande sele
0 comments:
Post a Comment