B omu ya kiatomiki ilipolipuka mjini Nagasaki Huku ulimwengu ukiadhimisha miaka 70 tangu ndege za kijeshi za Marekani ilipodondosha bomu la kinyuklia juu ya Nagasaki tazama picha za janga hilo. Majengo yote na viwanda viliharibiwa kabisa Ibada maalumu za ukumbusho zinaendelea kufanywa katika mji wa Nagasaki, nchini Japan, kuadhimisha miaka 70 tangu kulipuliwa kwa bomu ya atomiki jijini humo. Zaidi ya watu elfu 70,000 waliangamia Wahasiriwa wa bomu hilo waliungua mwili wao mzima Tarehe 9 Agosti mwaka wa 1945, ndege ya Marekani ikiwa imejihami kwa silaha zenye nguvu za kitonaradi ilidondosha bomu la pili kuwahi kutupwa katika uwanja wa kivita katika mji wa , Nagasaki ambao ulikuwa ndio kitovu cha uzalishaji wa viwanda nchini Japan. Siku 6 tu baadaye Japan ilitangaza kuwa imejisalimisha katika vita hivyo vya dunia. Siku 6 tu baadaye Japan ilitangaza kuwa imejisalimisha katika vita hivyo vya dunia. Watu 74,000 waliangamia Takwimu zinasema kuwa takriban watu 74,000 waliangamia. Watu wengi zaidi walikufa kutokana na athari ya miale ya nyuklia Hii ilikuwa ni idadi kubwa zaidi ya watu hususan ikitokea siku tatu tu Asilimia 70 ya watu hawakuwa na makao baada ya bomu la kwanza la kinyuklia kuua zaidi ya watu 140,000 mjini Hiroshima. Bomu hiyo iliyotikisa na kuangamiza kabisa mji wa Nagasaki Bomu hiyo iliyotikisa na kuangamiza kabisa mji wa Nagasaki ilijulikana kwa jina la utani kama ''Fat Man''. Wahasiriwa wa mkasa huo hawataki Japan ijiuhusishe na vita tena Ndege iliyotumika kutupa bomu hilo ilijulikana kama Bockscar, ilipaa kutoka kisiwa cha Mariana. Kanisa kubwa zaidi wakati huo liliharibiwa kabisa Rubani wake alikuwa Meja jenerali Charles Sweeney. Zaidi ya watu 200,000 waliuawa Inakisiwa kuwa zaidi ya watu 200,000 waliuawa katika milipuko hiyo miwili, Wengine kufariki baadaye kutokana na miale ya sumu kutoka kwa mabomu hayo ya nguvu za kitonaradi Wengine kufariki baadaye kutokana na miale ya sumu kutoka kwa mabomu hayo ya nguvu za kitonaradi. Viongozi wanamkashifu waziri mkuu bwana Shinzo Abe kwa kubadili sera na katiba ilikuiruhusu nchi hiyo kushiriki kwa vita Katika ibada ya ukumbusho iliyoandaliwa leo mjini Nagasaki,
wahasiriwa walimzomea waziri mkuu wa bwana Shinzo Abe kwa kutaka
kubadilisha katiba ya taifa hilo ilikuwaruhusu wanajeshi wa Japan
kuhusika na mapigano.
Mnara wa amani umejengwa katika eneo hilo
Meya wa mji wa Nagasaki naye
alivutia waya huohuo akimkashifu waziri mkuu bwana Shinzo Abe kwa
jitihada za kubadilisha katiba ya nchi.
0 comments:
Post a Comment