Monday, June 1, 2015

Zari,Kajala Na Lulu kwenye nguo za tizi,Yupi anafaa kuwa balozi wa mavazi ya mazoezi hapa.

Kama ilivyo kwa wanaume kufanya mazoezi kuwa na afya na mwili mzuri, pia kwa wanawake mastaa bongo imekuwa tamaduni hivi karibuni kutoa jasho mara kwa mara ili kuwa fit na kazi za kila siku, Picha tatu kwa wewe shabiki wa burudani bongo, Yupi anafaa kuwa balozi wa mavazi ya mazoezi hapa

 
drop comment yako  hapo  chini  then inakuwa powah 

0 comments:

Post a Comment