Tunajivunia kuwa na Supermodel wa TZ ambae kazi zake nyingi anazifanyia Marekani kwa sasa, Flaviana… ninacho kipya kuhusu yeye na kazi yake ya Modeling leo, ishu ya model kuonekana kwenye Magazine kubwa kama New African Woman sio kitu kidogo!!
Moja ya vitu vikubwa ambavyo viko kwenye Magazine hiyo ni kutangaza ishu za fashion na urembo.. Mrembo wetu Flaviana Matata yuko kwenye hili tolea jipya la Magazine hiyo.
A photo posted by Flaviana Matata (@flavianamatata) on
A photo posted by NewAfricanWomanMag (@newafricanwomanmagazine) on
0 comments:
Post a Comment