Mjane
wa rapper mkongwe marehemu Nororious B.I.G, Faith Evance, ameungana na
mastaa wengine wa R&B waliofanya vizuri miaka ya 90 kama Mary J.
Blige na Lauryn Hill katika kundi la mastaa wa kike wanaoandamwa na
matatizo ya kifedha kwa muda mrefu sasa.
Faith evans anakabiliwa na deni la kodi linalofikia $29,535.48 ambalo linatokana na malimbikizo ya kutolipa kodi toka mwaka 2011.
Wakati mwimbaji huyo wa “Never Let You Go” hit song ana experience ‘sleepless nights’ sababu ya matatizo hayo, mtoto wa kike wa marehemu mume wake Biggie Smalls, Tayanna Wallace mambo sio mabaya sana upande wake. Hivi karibuni alizindua clothing line yake aliyoipa jina la baba yake “NOTORIOUSS”.
0 comments:
Post a Comment