Kutoka lebo ya Fishcrab, Management ambayo ilikuwa inamsimamia Mr Nice baada ya kurudi katika game hivi karibuni ambapo msanii huyu alikuwa chini ya Lamar, limetoka neno hasa baada ya msanii kuingia rasmi na kuanza kazi na lebo ya Grandpa ya huko kenya wakati ambapo wengi walikuwa wanafahamu juu ya mkataba wake na Fishcrab ambao ndio ulikuwa bado mpya mpya.
Kwa Masharti ya kutokutajwa jina lake moja ya msemaji kutoka Management ya Fishcrab, amesema haya kuhusiana na tabia, na mwenendo wa Mr Nice katika dakika za mwisho kabla hajabadilisha code za eneo ambalo ameamua kwenda kuendeleza kazi zake.
Pia story kwa mtaa kwa sasa kutoka kwa Producer lamar ni kwamba... kwa sasa anajipanga kuanzisha bendi ya muziki ambayo itakuwa ni ya wanaume peke yake na itaanza kupiga mzigo hivi karibuni.
0 comments:
Post a Comment