Sunday, March 3, 2013

Rihanna na Chris Brown wafikiria kuanzisha familia



BAADA YA KUONA PICHA ZA KIROMANTIC NA VIDIO WAWILI HAWA WAMEANZISHA FAMILIA





Wiki kadhaa baada ya kurudiana, huenda Rihanna na Chris Brown wakaupeleka uhusiano wao mbele zaidi kipindi hiki, kwa kuwa na familia na watoto.



Rihanna ameliambia jarida la ELLE UK kuhusu mwanzo mpya wa mahusiano yake na Chris.Kuhusu mipango ya kuwa na watoto anasema:

“Bila shaka ntakuwa na mtoto. Na nasali niweze kwenda mapumziko kwa mwezi mmoja mzuri. Na nimejiwekea mambo fulani hivyo sina haja ya kufanya tour katika maisha yangu yote yaliyobaki hata kama napenda kufanya tour. Nataka afya na furaha katika miaka mitano. Nataka kuwa mwenye afya na mwenye furaha.”

0 comments:

Post a Comment