Kipenzi cha wengi marehemu Steven Kanumba
ataendelea kukumbukwa na fans wake kutokana na kazi zake zinazoendelea kuingia
sokoni.
NDOA YANGU ndio jina la filamu mpya ya Kanumba aliyoigiza na star wa kike Jackline wolper.
Kampuni ya Steps Entertainment ambayo
inajihusisha na usambazaji wa filamu za bongo ndio itakayosambaza filamu hiyo ya
kwanza mpya kutoka kwa Kanumba toka afariki dunia mwezi April mwkaa huu.
Kama wewe ni shabiki wa Kanumba anza
kuitafuta sokoni kuanzia tarehe 28 September 2012 ndio itaingia sokoni.
0 comments:
Post a Comment