Saturday, August 3, 2013

Picha: Wasanii na Waandishi wa Habari kwenye futari ya pamoja na Rais ilivyokuwa Ikulu

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr JK Mrisho juzi aliwaita baadhi ya waandishi na wasanii wa Tanzania kushirikiana katika futari ya pamoja iliyofanyika kwenye Ikulu Takatifu.
Hizi ni baadhi ya picha ya yaliyojiri.


















0 comments:

Post a Comment