Monday, July 29, 2013

Huu Ni Ugunduzi Mwingine Wa Ajabu Ambao Wanasayansi Wameufahamu Kutoka Katika Jua


  Wanasayansi wataalam wa masuala yan Anga kutoka European Space Agency/NASA, Solar and Heliospheric Observatory (SOHO) wamegundua kuwepo kwa shimo kubwa katika jua, mfano wa doa jeusi katika upande wake wa kaskazini.



Shimo hili limeanza kuonekana kwa mara ya kwanza na kuendelewa kufanyiwa uchunguzi tarehe 13 mwezi hii, na tayari wanasayansi hawa wameachia picha ya ugunduzi wao huu mpya.


Shimo hili limeripotiwa kuchukua karibia robo nzima ya upande huu wa kaskazini wa jua na kwa taarifa zaidi juu ya hili tembeela
http://www.nasa.gov/press/2013/july/iris-mission-gets-first-look-at-suns-mysterious-interface-region/#.UfZTYazH5So

0 comments:

Post a Comment