Thursday, March 7, 2013

Audio: Kanye West achukia kuwekwa namba 7 kwenye list ya ‘MTV hottest emcees’


Kanye+West+Pregnant+Kim+Kardashian+Leaving+qZDRKS8B3pgl
 CEO huyo wa G.O.O.D. Music amezungumza kwenye show ya Angie Martinez wa HOT 97 na kuzungumza na DJ Enuff kuhusu alivyojisikia yeye kukamata nafasi ya 7 kwenye orodha ya MTV Hottest MCs.

Yeezy amemweleza Enuff kuwa anadhani Lil Wayne ndio MC mkali zaidi kwenye game na kudai kuwa amefurahi kuona Big Sean kuwemo kwenye list lakini alipaswa kwenye top 5. Baba huyo wa mtoto mtarajiwa wa Kim Kardashian ameendelea kusema kuwa hakuna verse kali mwaka huu kama aliyoimba kwenye remix ya wimbo wa Rihanna Diamonds.
Pia amemkumbusha DJ Enuff kuwa ni yeye ndiye aliyempa Sway (mwandaaji wa MTV Hottest MCs) kipindi cha kwanza cha TV na kisha akakata simu. Isikilize interview hiyo hapa.



List hiyo mpaka sasa ni hii, nafasi 3 za juu hazijatajwa bado.
3. Rick Ross
4. Nas
5. Drake
6. Big Sean
7. Kanye West
8. Asap Rocky
9. Future
10. Meek Mill
Baada ya kuisikia interview ya Kanye, Weeezy ametweet:
Li Wayne
Naye Asap Rocky baada ya kuwekwa kwenye namba 8 amehojiwa na kudai kuwa alipaswa kuwa namba moja:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment