Daraja la Kigamboni ambalo kwa sasa ujenzi wake unaendelea huenda likaingia kwenye rekodi ya madaraja makubwa Afrika Mashariki.
Lakini ukuaji wa teknolojia duniani hasa sekta ya miundombinu
imeendelea kukua zaidi hasa kwa nchi zilizoendelea na katika pitapita
zangu nimekutana na haya madaraja makubwa kabisa duniania mbayo
yanaongoza kwa kujengwa kwa gharama kubwa.
Hapa nimekuwekea haya 10 mtu wangu…
1. San Francisco – Oakland Bay Bridge, Eastern Replacement Span – gharama yake ni dola bilioni 6.4
2. Great Belt Fixed Link, lipo Denmark – gharama yake ni bilioni 4.4
Verrazano-Narrows Bridge, lipo katika jiji la New York City – gharama yake ni dola bilioni 2.4
4 Yeongjong Grand Bridge, lipo Korea Kusini– gharama yake ni dola bilioni1.9
5 Tsing Ma Bridge, lipo China – gharama yake ni dola bilioni1.35
6. San Francisco – Oakland Bay Bridge, lipo katika mji wa San Francisco Bay – gharama yake ni dola bilioni 1.3
7 George Washington Bridge, lipo katika jiji la New York – gharama yake ni dola bilioni1.1
8 Cooper River Bridge, lipo South Carolina – gharama yake ni dola milioni 836.9
9 Tacoma Narrows Bridge, lipo katika jiji la Washington – gharama yake ni dola milioni 827.7
10 Chesapeake Bay Bridge, lipo Maryland – gharama yake ni dola milioni 778.3
0 comments:
Post a Comment